Mmmmmmmhhhhhh!
Naona follen imekuchelewesha
Mada umeiona tuanzie nafas katika mapenzi
Unafikir katika mapenz ya kweli elimu inahitaji ina umuhimu
Tuongelee elimu darasani kwanza kabla ya ile ya 6*6
Kiaje unaweza ukatueleza madhara yake
Na je kama elimu ya darasa Sina ila sifa nyingine like upendo ....uaminifu.uvumilivu 6*6 naimudu
Inakuweje