PILIPILI

belu

Member
Apr 24, 2015
53
9
Ni nzur na nmeiandaa katika mazing
Pilipili ni kiungo kinachoongeza hamasa zaid ya kula chakula na pia hutumika kulika katika chakula cha aina yoyote...

ira safi na kuipack katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji...BEI ni 3000 na nkikuletea mpaka kituoni kwako wanichangia 1000 ya usafr...napatika ubungo Msewe kwa

0718632033

1466669080407.jpg
 
Hongera sana,ni wazo zuri je mikoani tutapataje tukihitaji?
Ingiza bidhaa hii ktk whatsup groups mbalimbali ili kupata Wateja walio Jirani nawe.
Pia,ingia kazini kwa kushiriki maonyesho mbalimbali utafanikiwa
 
Ikihifadhiwa katika joto la kawaida ( Room temperature ) inaweza kudumu muda gani kabla ya kuharibika ?
Umeongeza preservatives zozote zile ?
 
No chemical ht kdg ila bila kuweka kwenye fridge ni wiki mbili na ukiihifadh kwa fridge ni mwez mzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom