Pilipili za mwendokasi

dorcas_eliud

Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
23
Reaction score
13
Habari wapendwa..
Euro Delicious food services tunauza Pilipili za kunukia halmarufu kama HABANERO zina harufu San na nikubwa hutojuta kuwa mteja wetu..
Tunauza kuanzia kilo hadi ndoo kubwa kutokana na uhitaji wa mteja wetu kwa mawasiliano tupigie au tuma meseji
0712718228View attachment 877063
 
Mbali na kuweka namba za simu ulipaswa pia kusema unapatikana mkoa gani mkuu,kama uko Kigoma na mimi nipo Dar nisihangaike kupiga simu.

Yote kwa yote hizo pilipili ni habari nyingine,zina harufu nzuri mno na kunogesha mlo.

Huku zinajulikana kwa jina la mwendo kasi,hii ni kutokana na ukali wake maana hata kama haijakomaa ukali wake si wa kitoto.
 
Habari wapendwa..
Euro Delicious food services tunauza Pilipili za kunukia , PILIPILI ZA MWENDO KASI halmarufu kama HABANERO zina harufu San na nikubwa hutojuta kuwa mteja wetu..

Tunauza kuanzia kilo hadi ndoo kubwa kutokana na uhitaji wa mteja wetu
Tunapatikana dar es salaam , mikocheni
Tunatuma na mikoani ....

kwa mawasiliano tupigie au tuma meseji
0712718228
 
Asili yake ni Uganda, mpaka nimezipanda hapa "ghetto" mwezi ujao naanza kujilia changu buure!..
 
Ongeza thamani ya bidhaa zako kwa kufanya usindikaji pia itakusaidia kuepusha uharibikaji wa haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…