Pilipili na mvumbuzi

We unaonaga umuhimu

wowote baada ya mtumizi ya

pilipili?
 
subiri mimi enda kule Bombay india, ikirudi iko kupatia wewe jibu zuri. kule niko enda uliza babu yangu.
 
Kwani hujajua uzuri wa pilipili?
Iko juu sana hasa unapokuwa na wageni wengi na mboga chache lol
Unaidunga ya kutosha wanabaki kujiju
 
Kwani hujajua uzuri wa pilipili?
Iko juu sana hasa unapokuwa na wageni wengi na mboga chache lol
Unaidunga ya kutosha wanabaki kujiju



Kwa mtaji huu ndugu yangu naona unaweza hata kuwawekea wageni mboga iliyochacha..hahahahahaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…