Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Nimekuwa nikisikia na hata kuona watu wenye dalili za madhara yanayotajwa kuwa yamesababishwa na utumiaji wa Sukari kwa wingi, Lakini pia utumiaji wa Chumvi kupita kiasi au Chumvi isiyo na Madini Joto inatajwa kuleta madhara fulani kiafya!!
Sasa katika matumizi ya PiliPili, Sijawahi kusikia madhara yake kiafya bali vile tu inasemekana kuwa ukizidisha matumizi yake basi wakati wa kwenda HAJA utakiona cha 'Moto'!! Kwa hivyo basi naomba kujua kama kuna madhara yoyote(kiafya) yanayoweza kusababishwa na matumizi ya Pilipili kwa wingi!!??
Hakuna kitu cha kuuliza unauliza madhara ya pilipili? Madhara ya Pilipili ni
kuwasha tu hakuna madhara zaidi ya hayo Pilipili ina faida haina madhara Sahar Kama wewe ni Mwanamke
madhara ya kutumia Pilipili itakutia nyege utafute mwanamme ufranye nae mapenzi. Na Madhara kwa
mwanamme kutumia pilipili itakufanya ujisikie nyege ya kutaka wanawake hayo ndio madhara ya kutumia Pilipili.
Unaweza kutembelea hapa kuona Faida ya kutumia Pilipili bonyeza hapa.FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITIBA