Utakuwa una nasaba za kihindibora umeuliza,maana kwangu mie sio kula tu pilipil ni kwamba nakunywa!
Madhara ya pili pili ni kuota Kansa ya Mkundu basi ni ivyo tu.Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa pilipili. Kila nipatapo chakula basi huwa nahakikisha pilipili haikosekani. Je eti matumizi ya pilipili nyingi yana madhara yoyote mwilini?
Wataalamu wa afya na lishe nipeni ushauri.