donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahahah, zenj wanaita 'Kibuluungojaa wajee wenzako wameshawaza vinginee na hii mvuaa 😛
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ngoja nichukue maji hapa nishushie..
Ulivyofyonya sasa..[emoji1] [emoji1] [emoji1]!
!
Mimi Nikajua Pilau Pilau La Ukweli. Kumbe Ni Pilau Hilo La Mibwabwa Na Broilers? Mfyuuuuuu
Ulivyofyonya sasa..[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha nimeipenda hii comment, ice cream inakua kama dessert? Mimi hua beef ndio nafanya dessertRaha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.
Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...
Enjoy your food Don.
Hahah!! Mkuu unajua kujipendelea sanaMambo ya kujinomaView attachment 775080
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unependa sana pilau!
!
Mimi Nikajua Pilau Pilau La Ukweli. Kumbe Ni Pilau Hilo La Mibwabwa Na Broilers? Mfyuuuuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unependa sana pilau
Raha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.
Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...
Enjoy your food Don.