kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Naiuza pikipiki yangu kwa sh.milion Moja na Laki mbili
Bado ni mpya tafadhali kama unauhitaji njoo inbox .
Mahali ni Dar
Mrejesho
Nashukru Ndugu wana Jf kwa sapot yenu nmefanikiwa kuiuza hiyo pikpik Mungu awabariki