Pikipiki used inahitajika

Pikipiki used inahitajika

Joined
Aug 19, 2015
Posts
11
Reaction score
7
Habari zenu,
Husika na habari hapo juu..
Mwenye pikipiki used ya aina yeyote anayoiuza ani-pm
Iwe imetumika kwa kpndi kisichozidi mwaka mmja
Iwe na vibali vyoote
Atleast iwe bado in a good condition
My offer 700k
Location unayotokea iwe ni dar hapa hapa
Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom