Bubu Msemaovyo Platinum Member Joined May 9, 2007 Posts 4,189 Reaction score 3,552 Jan 10, 2013 #1 Pikipiki ama Toyo hii ikiingia hapa nchini itakuwaje??? Changia: 1. Hakuna kubeba mshikaki. 2. Mitindo ya kushona suruali itaboreshwa kumwezesha mwendeshaji amudu chombo chake. 3. Safari za chombo hiki zitaongezeka sana. 4. Ndoa nyingi zitavunjika.
Pikipiki ama Toyo hii ikiingia hapa nchini itakuwaje??? Changia: 1. Hakuna kubeba mshikaki. 2. Mitindo ya kushona suruali itaboreshwa kumwezesha mwendeshaji amudu chombo chake. 3. Safari za chombo hiki zitaongezeka sana. 4. Ndoa nyingi zitavunjika.