pikipiki SAN LG inauzwa.

pikipiki SAN LG inauzwa.

FASHIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
246
Reaction score
81
Habarini wanajamvi! SanLG inauzwa Gongo la mboto. ipo katika condition nzuri, imetumika miezi nane tu. bei ni sh. mil 1 na laki 2. picha yake ipo chini hapo.
kama utakua interested niPM tupeane phone no. tuongee biashara.
 

Attachments

  • 2013-08-23 07.27.30.jpg
    2013-08-23 07.27.30.jpg
    598.1 KB · Views: 281
  • 2013-08-23 07.26.32.jpg
    2013-08-23 07.26.32.jpg
    675 KB · Views: 241
kwa uelewa wangu kama imekaa mwaka imeshakurudishia hela yako, yaani 50,000 kila wiki kwa wiki 52, ni bora ukashusha bei
 
haija2mika mwaka mkuu, ni miez nane. nauza coz nashida ila bado haijarudisha hela. piga hesabu mwenyewe then weka na expences hapo utaona mwenyewe ............
 
ahsante kwa taarifa nyeti mdau. Tatizo MOI pamejaa sana.
 
Back
Top Bottom