Pikipiki mpya toka China

Mmmmmmmmmmmmmmmmh sasa nini hii?si ajali zitakuwa nyingi sana?maana vijana watajikuta wanafikiria mambo ya chumbani mpaka ana----- then si ajili hiyo
 
Hizi bongo watanunua sana tena hata kwa bei mbaya, hii 3 in 1
 
Kwa kweli wanadamu muda wote tunapenda kuwaza mambo ya faraghani sijajua kwa nini!!!Sasa hiyo sijui utapita nayo wapi,kama sio watu wakushangae na wakuone una uchu kupindukia!!!Yalianza masinki ya kunawia,vikaja viti na sasa tukutuku zenye umbo hilo.Duu,kaubunifu lakini....
 
wachaga hawatanunua kwa kuwa wao na malove tofauti labda wazee wa mahaba tanga kunani
 
Hapa unaweza kujikuta unahangaika na kuvuta mafuta ukidhani ndo breki... Kinachofuata mi simo..!
 
zimefika bongo?nataka 100 za biashara!zinalipa sana hizi
 
Hizi unanunua kama 20 hivi za kukodisha kwa watu. Inakuwa kama umefungua danguro vile. Naamini baada ya mwaka utakuwa na visenti kama vya jamaa yetu wa Bariadi.
 
afadhali zije ili wanaume mpunguze ubakaji
mjibake wenyewe make hisia zikija unaweka
petrol unazunguka laund mbili mambo safi kabisaaaa
ila inabidi mvae kitu mfano wa kanzu msistukiwe
wachin nux duuuh
 
hawa wachina sasa huku wanakoelekea siko! Siko kabisaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…