Pikipiki HONDA inauzwa

Pikipiki HONDA inauzwa

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Nauza pikipiki HONDA rangi nyekundu kwa sh 1.8M,imetumika miezi 8 tu.picha imegoma kudownload kwenye uzi huu ila mwenye hitaji ani PM na kunitumia email adress yake nimtumie picha.
 
Email yangu ni hudsondosi@gmail.com ni honda model gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom