Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,944
Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. ngapi? kwa Ilala? na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.
elf15 tu unapata na risti ya malipo ya manispaa!Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. Ngapi?kwa ilala?na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.