Pikipiki Bora kabisa - Tong BA

Pikipiki Bora kabisa - Tong BA

Charles Mtekateka

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
317
Reaction score
89
TB 200 -14

Push to start

Imelipiwa Kodi zote

Bei take 4,950,000/=

Mobile . 0786011953
IMG_20190108_151221_969.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TB 200 -14

Push to start

Imelipiwa Kodi zote

Bei take 4,950,000/=

Mobile . 0786011953
View attachment 989327

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani nani akupe milioni 5 kwa hiyo pikipiki
Nimecheck online hizi pikipiki hapa chini bei yake ni 3880¥ chinese yuan=1,301, 863/=Tsh ukiweka na ushuru na usafiri haifiki hata milioni 3. This is pathetic

View attachment 989792View attachment 989793View attachment 989794View attachment 989795View attachment 989796
Naona Charles vs Charles mkiparuana makucha.
 
yaani nani akupe milioni 5 kwa hiyo pikipiki
Nimecheck online hizi pikipiki hapa chini bei yake ni 3880¥ chinese yuan=1,301, 863/=Tsh ukiweka na ushuru na usafiri haifiki hata milioni 3. This is pathetic

View attachment 989792View attachment 989793View attachment 989794View attachment 989795View attachment 989796
Mkuu wewe umeangalia online! Yeye anayo physically ndo maana ameweka na faida juu.
Mbona Japan gari inauzwa us$ 1000 lakini likifika huku unakuwa umegharamika 8mln tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe umeangalia online! Yeye anayo physically ndo maana ameweka na faida juu.
Mbona Japan gari inauzwa us$ 1000 lakini likifika huku unakuwa umegharamika 8mln tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda hauna uzoefu kwenye kuagiza vifaa kama hivi china mkuu,
in short ukinunua hiyo mashine especially yenye engine ya ZHONGSHEN, Guangzhou unaweza ipata kwa bei chini ya niliyo iweka inaweza kuwa kama laki tisa ya bongo....kuipakia na kuifikisha bongo haita zidi laki nane mpaka unaiweka mikononi inaweza fika milioni 2(kununua na kuisafirisha na kuitoa)...wekea maximum 2.5M sasa hiyo faida ya asilimia 100. Kanunue mkuu sija kukataza but natoa maoni yangu huru
 
Back
Top Bottom