Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

Bora mngenipa tenda ya kuitangaza, ubovu wa picha zako unafanya ionekane ya kichovu.

Inaonekana haijaoshwa.

Mzee ipige maji vizuri, ipake wese, tumia simu yenye camera kali, iweke nje sehemu tulivu kivulini. Fyatua picha kali kali , udhaifu mdogo mdogo kama huo hapo wa tenki kubonyea ufiche kiaina.

Halafu post sasa uone simu zikiita mpaka simu ipate wehu.
 
Mkuu unaficha udhaifu wa nini? Kwa anayehitaji it’s okay, asiyehitaji fresh tu ipo tu pale home imepaki, sina haraka nayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…