Piki piki Kawasaki D-tracker 250cc sokoni

Piki piki Kawasaki D-tracker 250cc sokoni

sirleondavid

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2012
Posts
377
Reaction score
25
Piki piki Bomba aina ya Kawasaki D-tracker

Color = Black and silver

Capacity = 250 cc

State = Used

Price = 4,500,000/=

1.jpg
3.jpg 2.jpg
 
Kaka kwa 4.5ml mbona kubwa sana kama uko tayari kwa 3ml niPM!
 
hiyo bike we unaionaje?
si gari hiyo???

we wa wapi?
sio kwamba nimeiponda mkuu,
ipo poa kweli
ila hiyo bei mkuu kwa huu ukanda wetu ni kubwa mno

manake mtu akiongezea kidogo anachukua mchuma.

Ila watafute wale washkaji wenye rasta huwa wanapenda sana hizo bike.

kama utakosa mteja kabisa na lazima uiuze ni PM
 
poa poa haina noma
 
kama ni gari mbona halina bodi na kama ni gari mvua ikinyesha sinyeshewi?

Body ni wewe mwenyewe muendeshaji.
Halafu acha kuogopa mvua kaka, haitoi damu ile.
Au wewe hauogagi??
 
Back
Top Bottom