AbsolutelyAs long as ni Maccm.... Wanaua demokrasia... I can't cast my vote for them.... Ni mfumo ule ule
Anafaa kuwa pastorMwanri:...fyeeka! ....fyeeka! ....fyeeekelea mbali! Kiukweli,kauli za awamu hii tamu sana.
Usisahau 'Mchungaji sukuma ndani, akina mama wanaoimba chikichi chikichi chikichi sukuma ndani....'Mwanri:...fyeeka! ....fyeeka! ....fyeeekelea mbali! Kiukweli,kauli za awamu hii tamu sana.
Mwanri:...fyeeka! ....fyeeka! ....fyeeekelea mbali! Kiukweli,kauli za awamu hii tamu sana.
Comment fupi fupi tafadhali zinahitajika hapa nakazi nazo..
Huyu mzee wa fykelea mbali huwa ananifurahishaga sana maongezi yake
Mkuu kumbe na wewe ni mwanachama WA Chama cha Wasoma Comment Tanzania(CHAWACOTA)...Mkuu inabidi tufanye uchaguzi sasa...Comment fupi fupi tafadhali zinahitajika hapa nakazi nazo..
No 1 mwanryBaadhi ya wakuu wa mikoa wameonekana kutekeleza vyema sera ya maendeleo na pia wameomyesha sura za kiuongozi katika maeneo yao.
Kati ya wafuatao yupi unadhani ji bora zaidi
1. Katavi (Mtaka)
2. Tabora (Mwamri)
3. Geita (Gabriel)
Wamejitahidi sana kusimamia mambo yanayo igusa jamii. baadhi ya mambo ambayo wameyasimamia.
1. Robert Gabriel: Amesimamia fedha zinazo toka migodini (CSR) kwa kuhakikisha zinajenga zahanati kwa kila kijiji.
2. Mtaka : Ameonyesha uongozi kwanza kwa kupiga marufuku viongozi kuwekwa rumande bila sababu ya msingi.
3. Mwamri: Amesimamia vyema swala la ndoa za utotoni kwa mkoa wa tabora ndio unaongoza kwa ndoa za utotoni.
Yapo mengi lakini jambo la msingi ni uongozi wao umeonekana sio wa kukurupuka na kutaka kiki.
Piga kura yako.