GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #41 Bishan Park,Singapore 1988 na 2020
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #42 Utretch,Netherlands...1982 na 2020 waliamua kubadilisha barabara kuwa MTO badala ya magari saivi ni viboti vinapita
Utretch,Netherlands...1982 na 2020 waliamua kubadilisha barabara kuwa MTO badala ya magari saivi ni viboti vinapita
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #43 Genbaku Dome, hii ilikua hall hapo kabla ambapo baadae ilichaguliwa kuwa memorial ya waliouwawa kwa Atomic bomb hapo 1945(picha ya juu) baada ya kisanga na ya chini ni miaka 75 baadae 2020
Genbaku Dome, hii ilikua hall hapo kabla ambapo baadae ilichaguliwa kuwa memorial ya waliouwawa kwa Atomic bomb hapo 1945(picha ya juu) baada ya kisanga na ya chini ni miaka 75 baadae 2020
Kilembwe JF-Expert Member Aug 19, 2009 2,056 1,599 Jun 1, 2021 #44 Kwani za Tanzania au Afrika hakuna....muweke basi nazo tulinganishe..mfano Dar es salaam ya sasa na ya mwaka 1950 hivi!
Kwani za Tanzania au Afrika hakuna....muweke basi nazo tulinganishe..mfano Dar es salaam ya sasa na ya mwaka 1950 hivi!
Petluk Senior Member Sep 11, 2017 169 274 Jun 1, 2021 #50 GeoMex said: View attachment 1804610 Babu na mpenzi wake pikipiki ile ile,sehemu ile ile mwaka 1967 na mwaka 2018 Click to expand... Nimeipenda sana hii
GeoMex said: View attachment 1804610 Babu na mpenzi wake pikipiki ile ile,sehemu ile ile mwaka 1967 na mwaka 2018 Click to expand... Nimeipenda sana hii
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #51 Singapore mwaka 2000 na 2021
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #52 Kilembwe said: Kwani za Tanzania au Afrika hakuna....muweke basi nazo tulinganishe..mfano Dar es salaam ya sasa na ya mwaka 1950 hivi! Click to expand... Weka tu mkuu hata wewe. Uzi shirikishi huu
Kilembwe said: Kwani za Tanzania au Afrika hakuna....muweke basi nazo tulinganishe..mfano Dar es salaam ya sasa na ya mwaka 1950 hivi! Click to expand... Weka tu mkuu hata wewe. Uzi shirikishi huu
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #53 Hawa jamaa waliamua kutia fora wanapiga picha kila baada ya miaka mitano kurudia pozi lile lile
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #55 Miaka 23 baadae na mshua
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #56 Baba na mtoto wake mwaka 1949,2009 na 2011 RIP Maisha mafupi sana
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,802 Jun 1, 2021 Thread starter #57 Picha aliyopiga yeye na babayake akairudia yeye na mwanae
M Matrix19 JF-Expert Member Feb 24, 2020 5,323 9,257 Jun 1, 2021 #60 Natarajia Kukutana na Picha ya Taj Mahal before and Now...