Picture of the day

Picture of the day

Lol..hii picha bwana..kama nanilihii..!!
Hilo ndio tatizo la binadamu kwa uanasayansi wetu, unajua Mungu kaumba dunia kwa jinsi ya ajabu sana!
Hapa ni Africa na wala sio kwingineko. hills.jpg
 
Halafu wewe lukindo picha za kule chini unazileta huku hadharani!!
Umeenda mbali sasa, una maana 'kule' wapi wakati haya ndimo maeneo tunamoishi.
Hiyo ya kwanza nimekuwekea chanzo chake na nakuwekea na hii pia ili kama unadhani utani uingie kwenye google-map uone uhalisia wa nilichopost mkuu
 
Dah..watu ni ma-creative jamani....kama punani kabisaa
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom