Picture of the day

Aise mimi nna makosa kibao embu wajekunikamata

Hao wapo kitengo cha kung'oa meno na kucha

Huyo wa mbele kabisa ni mminya pu.mbu wa serikali

Na yule wa mwisho anapiga mijeledi balaa

Still unataka kuwa mfungwa
 
Askari yupo soft kabisa.... Unaweza kumwambia "home nimeweka bangi twende ukaone"

Dah! Sijajua quote yangu inahusika vipi na thread hii. Nimesngalia kuwa thread ni ya leo lakini quote yangu uliyochukua ni ya miaka takriban tisa iliyopita!
 
Dah! Sijajua quote yangu inahusika vipi na thread hii. Nimesngalia kuwa thread ni ya leo lakini quote yangu uliyochukua ni ya miaka takriban tisa iliyopita!

Kumradhi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…