miss chagga ulivyo mzuri hakuna mfano wako na wala hakuna wa kulinganisha na wewe na uu mzuri kuliko maua rose na harufu na muonekano wako ni wa kipekee hakuna wa kufananisha na wewenakuhesabia tu hi ni wiki ya tatu ujanisifia kabisa nilivyomzuri nasikia barabarani tu mi sitaki nitakuacha ujue
Mwanangu hela unapeleka wapi?
i love u Mr Rockymiss chagga ulivyo mzuri hakuna mfano wako na wala hakuna wa kulinganisha na wewe na uu mzuri kuliko maua rose na harufu na muonekano wako ni wa kipekee hakuna wa kufananisha na wewe
Umbo lako na sura yako vinawapagawisha wengi na mwendo wako wa madaha ukichangia na urembo wako hakuna wa kufanana na wewe
nataka baba uliniahidi mwenyewe leo nimepata pakuanzia nimevumilia nimechoka... namwita mama... baba namwita mama leo mpaka utoe hela
hela zipo kwa ajili yako mwanangu ila niambie tu unapeleka wapi? Nakupa zote
Aise mimi nna makosa kibao embu wajekunikamata
baba nataka pochi, nataka na viatu vya blue sina ,.... Hivyo tu dady hutaki mwanao nipendeze?
Hapo umenijibu mwanangu....niandikie order nakuletea vyote...
siataki nataka hela baba mimi nikienda watanipunguzia ujue dady
mkuu hiimovie au kweli?
Mndengereko majuu huko yaani ukikamatwa hadi rahaWacha kaka ni balaa ni shidaaa Muulize utafiti anajua siri zote
Mndengereko majuu huko yaani ukikamatwa hadi raha
Well it is below CEO.