Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,372 Reaction score 7,983 Nov 12, 2022 #1 Imepigwa na Othman michuzi
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Nov 12, 2022 #2 Mchimba Chumvi said: Imepigwa na Othman michuzi View attachment 2414273 Click to expand... Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE
Mchimba Chumvi said: Imepigwa na Othman michuzi View attachment 2414273 Click to expand... Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,602 Reaction score 19,782 Nov 12, 2022 #3 Maisha lazima yaendelee
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,372 Reaction score 7,983 Nov 12, 2022 Thread starter #4 Ngalikihinja said: Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE Click to expand... Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida
Ngalikihinja said: Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE Click to expand... Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Nov 12, 2022 #5 Mchimba Chumvi said: Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida Click to expand... Utakuwa hujui biashara au athari za majina yaliyowahi haribika kwenye biashara
Mchimba Chumvi said: Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida Click to expand... Utakuwa hujui biashara au athari za majina yaliyowahi haribika kwenye biashara
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,915 Nov 12, 2022 #6 Kwani wao ndo kampuni ya kwanza kupata ajali,labda kabla mliwaajalisha.