umeona eeeh ni kweli
Mkuu! Okay pengine ulijiandikia tu wala hukumaanisha. Sasa unataka kujisifu kwa yaliyonikuta?
Pitia home unipe taarifa Leo huku jf sielewi
Acha majungu mtu wangu, nataka aniamini mimi ni wake na hakuna mwingine
Hii ina mahusiano na yule mwenye mimba yako....!?
Hahahaa..wataka nchonganisha besti...!! Hizi ni episode za kulalana tu kwa leo..
Baada ya miezi sita utasikia, "I hate you, go can go crew yourself" ..
Haya mapenzi ya kuchoreana Haya...uongo mtupu, au ndo swagga za Valentina....