Papaa Azonto JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 319 Reaction score 277 Jan 9, 2015 #1 hivi inawezekana kweli au ni kuwaadaha walimwengu......????? jamaa amefanya plastic surgery ili awe nasura ya mbwaa. hii ni huko brazil na ni ya kitambo toka mwaka juzi vile 2013. kwa maelezo soma hapa.....Brazilian Man Got a Dog Face by Plastic Surgery | HaqJo.com
hivi inawezekana kweli au ni kuwaadaha walimwengu......????? jamaa amefanya plastic surgery ili awe nasura ya mbwaa. hii ni huko brazil na ni ya kitambo toka mwaka juzi vile 2013. kwa maelezo soma hapa.....Brazilian Man Got a Dog Face by Plastic Surgery | HaqJo.com
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Jan 9, 2015 #2 habari zingine uwe uazipotezea tu mkuu
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Jan 9, 2015 #3 Mbona amekuwa mbwa mrembo!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jan 9, 2015 #4 Kuna mijitu mithenge sana yani
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,756 Reaction score 6,295 Jan 9, 2015 #5 Binadamu kwa kumkana Mungu kwa kweli tunajitahidi sana. Hapa akifa kwenye meza ya operation ataomba Mungu amsaidie, yaani?
Binadamu kwa kumkana Mungu kwa kweli tunajitahidi sana. Hapa akifa kwenye meza ya operation ataomba Mungu amsaidie, yaani?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 9, 2015 #6 Hajitambui huyo