Pick your poison

Pick your poison

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,495
Kitendawili?
Tega.

Hivyo sio nchi invyoendeshwa kisayansi,

Haijalishi chama kinamuweka nani kileleni kwenye nchi ambayo zina civil services zilizo imara (na ya kwetu ovyo).

Mweh, acha tu kwanini uumie.

Unaweza tumia muda mwingi kutukanana na NHC na sijui taasisi gani bila ya wahusika kuelewa unavyowatetea kwa hasara ya kucha zako kibaya zaidi na kodi unawalipia; juu.

Vunja tu Nehemia Magorofa yenye faida kwako, that’s what some people deserve.
 
Mbona unaongea peke yako na lukwili hii?Hebu eleza kilichojiri kwa matao.
Ndugu yangu kuna watu wa ovyo kweli kwenye hii dunia.

Kuna kajumba ambacho binafsi nina emotional attachment nako ila katika miaka karibu 30 nimekaa week moja, ila kwa mwaka nakalipia kodi kama ya 3 milllon kwa sababu za kifamilia.

Na hapa jukwaani natukanana sana na NHC kwa sababu ya hako ka block na wengineo.

Sasa unaweza wapigania watu wasielewe anyway kila mtu anakiwanja chake, vunja tu.

Wala sio ushawishi wangu but, I know it was bound to happen; only that we give pressure but some people don’t appreciate.

Vunja tu
 
Ndugu yangu kuna watu wa ovyo kweli kwenye hii dunia.

Kuna kajumba ambacho binafsi nina emotional attachment nako ila katika miaka karibu 30 nimekaa week moja, ila kwa mwaka nakalipia kodi kama ya 3 milllon kwa sababu za kifamilia...
Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.

Na inamilikiwa na NHC.Na wanataka kuivunja. Na weye umejikatia tamaa na kuwaambia wavunje tu.Ni hivyo nilivyoelewa au bado nina hangover?
 
Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.Na inamilikiwa na NHC.Na wanataka kuivunja.Na weye umejikatia tamaa na kuwaambia wavunje tu.Ni hivyo nilivyoelewa au bado nina hangover?
Ujakosea upo sahihi, isipokuwa hapo kwenye hangover tu, ungeweka neno umechoka kuwahurumia na kuwalipia kodi mijitu mifala.

Moreover nilipigana for sentimental reasons, na majungu juu naamini yalisaidia mpaka huyo Nehemia kutimuliwa, sasa nataka nione mwisho wake.

Ugomvi wangu unaamia kwa mwenyekiti wa mtaa Goba, ole wake nisikie kiwanja changu kimenadiwa tena.

Ila as far as Upanga goes, NHC wavunje tu plots ambazo wanazani zina faida kwao.
 
Ujakosea upo sahihi, isipokuwa hapo kwenye hangover tu, ungeweka neno umechoka kuwahurumia na kuwalipia kodi mijitu mifala...
Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako?

Na bado utachanganyikiwa zaidi maana kiwanja chako cha goba nacho kimeshauzwa.
 
Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.Na inamilikiwa na NHC.Na wanataka kuivunja.Na weye umejikatia tamaa na kuwaambia wavunje tu.Ni hivyo nilivyoelewa au bado nina hangover?
Aisee we jamaa ni kichwa... Mi sikuelewa japo robo....

Kanyumba amekalipia miaka 30 lakini amekaa wiki moja
 
Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako ?

Na bado utachanganyikiwa zaidi maana kiwanja chako cha goba nacho kimeshauzwa.
Kodi kwa mwaka milioni 3. Na amelipia kwa miaka 30.... Yani 90m...

Hapo kwenye plot yake angekuwa kashaweka mjengo wenye akili kabisa
 
Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako ?

Na bado utachanganyikiwa zaidi maana kiwanja chako cha goba nacho kimeshauzwa.
Ndugu yangu kujenga sio issue na nina option ya pakujenga (elewa hivi kujenga sio issue kwa upande wangu).

Swala ni sehemu ambayo tumeizoea kutaka kui-keep, otherwise kila mpangaji kwenye block yetu angeweza kununua for some reasons wapangaji awakupush ata walipokuwa wana raisi wa kuwawezesha kufanya ufisadi (mmoja wa mpangaji hapo ni babu wa ki Iran-Tanzanian na biggest drug dealer in land na mwenye zinga la jumba Mbezi beach), yaani ni hivi tumekuzoea.

Sasa kero yangu ipo hivi kuna mijitu unaipigania ipate mahala pa kufikia kwa kuilipia kodi lakini aina shukrani na unajua ukijitoa ni muda tu kabla ya NHC awajafanya yao.

Ndio maana naona NHC wavunje tu, block nzima wanaishi kwa sababu eneo wamezoea.
 
Afadhali makada wanaweza vumilia upuuzi in return ya nafasi, ata sijui vigezo vya teuzi.

Ila kuna wale ambao wanaelewa wanajuwa wazi wana mishahara ya kumudu maisha kwa miezi nane, miezi minne wanamtegemea fulani asaidie.

Upuuzi sasa wanaweza tafuta ugomvi na huyo sponsor ndani ya hiyo miezi nane, wakati ikifika hiyo minne ya mwisho lazima waende kulia kwa mtu yule yule waliemtukana (mbio za sakafuni) ndio hapo sielewi.
Kumbuka weye ni mayor.Una kauli juu ya ardhi kama mzawa.
 
Kodi kwa mwaka milioni 3. Na amelipia kwa miaka 30.... Yani 90m...

Hapo kwenye plot yake angekuwa kashaweka mjengo wenye akili kabisa
Nikisema niwaandikie proposal U.K Aid ya mkopo na wananutumia funding rounds and areas of interest kwao awachimoki.

Moreover as a U.K. resident hizo investment ni FDI and subjected to U.K. bilateral agreement na naona sehemu nyingi kwa vigezo vya kuwekeza na kutengeneza hela.

Lakini unaishi vipi kwa amani wakati mambo mengine ambayo unayalewa, yapo nje ya uwezo wako, yanaenda ndivyo sivyo and a lot of people are affected without you doing nothing.
 
Mayor,kiswahili nyoofu siku hizi kinakushinda tangu uishi mamtoni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom