Pick-up inahitajika haraka sana

Pick-up inahitajika haraka sana

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,184
Reaction score
1,315
Habari zenu wana jf.

Inatakiwa pickup tani moja iwe ya nissan au toyota hilux. Sifa na vigezo kuzingatiwa

1. Iwe nzima na imara ya kuanzia mwaka 1997
2. Iwe manual na ya injection
3. Iwe single cabin

Hela ipo mkononi na kwa sasa nipo Kibaha maili moja mwezi wote huu.

Gari inahitajika haraka sana na utaje bei inayoendana na gari husika kama unayo njoo PM fasta tupeane namba nije kuiona tufunge biashara.
 
wadau mbona kimya? Au ndo kusema jf wote wananunuaga magari ya kutembelea tu. Mwenye gari tajwa jamani
 
Back
Top Bottom