labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijanaMkuu sijui ulitaka nini kifanyike, zianze kuuzwa kwa siri ili ziadimike kama sukari au?
Kijana unajibizana na mimi au mtoa mada?labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana
Zinaitwaje zile tunazovaa ndani ............... kwani wewe umeshawahi kuziona nguo za ndani za watu wako unaowaheshimu wakiwa wamezianika ........ kwa kutoziona ina maana wao ni wachafu ........ (samahani kwa hili swali na ndio maana sikuwataja watu wako wa heshima wakina nani)labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana
Nakujaribisha ruksaHyo biashara inalipa tena muuzaji awe mwanaume madem watajaaa