"Pichu" imekuwa sio kivazi cha siri tena

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,388
2,000
Hi guys,

Kwanini wajameni imekuwa hivi, vazi la sirini kuwa hadharani kiasi hiki si za kike wala za kiume kwanini lakini. Madukani ziko hadharani, wamachinga wanatembea nazo mitaani, kwenye matangazo ndio usiseme hebu tuambiane ile siri ya zamani imekumbwa na nini?
 

mr aly

Member
Jul 15, 2016
56
125
Imekua ni kwaida kukuta pch inauzwa mnadani tena bila aibu tena mwanaume sasa hv watu wametokwa na hya kabsa
 

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,388
2,000
labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana
Zinaitwaje zile tunazovaa ndani ............... kwani wewe umeshawahi kuziona nguo za ndani za watu wako unaowaheshimu wakiwa wamezianika ........ kwa kutoziona ina maana wao ni wachafu ........ (samahani kwa hili swali na ndio maana sikuwataja watu wako wa heshima wakina nani)
 

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
26,102
2,000
Kuna duka la mzungu kariakoo, anauza za -ke na -me, na watu wa jinsia zote wako busy tu kuchagua, kweli aibu imeondoka na EKARUSI
 

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,963
2,000
1468953839331.jpg
mzigo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom