PICHAZ: Yaliyojiri Leaders, Tamasha la Clouds a.k.a Virus

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050

mnyamwez Fabulous




dj ziro

Gangwe mob


THT dancers


Wanaumeeeeeee

Suka na Fella

Barnaba


Afane sele


international stage








nyomiiiiii






Jay moe na mchizi mox


picha zote na michuzijr
 
......... naona muziki umeingiwa na siasa

RUGE VS SUGU

CCM VS CDM..............

ungeseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
......... naona muziki umeingiwa na siasa

RUGE VS SUGU

CCM VS CDM..............

ungeseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

dah umenena mkuu af wanatutumia vijana kwa nanufaa yao wote mi naona wazushi beef hela zao mi nawapotezea tu
 
Afande Selle katika tamasha la Redio ya wafu?changa la macho hilo.Afande Selle ata ukimkatakata damu yake ni Sugu Sugu tu.Yea vinega for life
 
Hilo nyomi ni magumashi halikuwa kihivyo na pia mziki ulikuwa hausikiki vizuri mimi ninakaa jirani na leaders nilikuwa naona kila kitu ndugu yangu watu walikuwa wachache ukilinganisha na show zilizokuwa zinafanywa na clouds kipindi cha nyuma, walikuwa pia wanarusha live kupitia radio yabo still haikusaidia, walikuwa wanahamasisha watu waje kwa wingi kupitia radio yao watangazaji nao walikuwa hawasikiki vizuri mziki ukipigwa live wakiunganisha na radio hausikiki vizuri.

Nakama ulipita mitaa ya sayansi kuanzia saa 10 kulikuwa na foleni gari haitembei watu wengi walikuwa wanatembea kwa miguu kwenda ustawi wa jamii.

Kingine kilichosababisha watu wengi hawakwenda leaders ni garama kiingilio ni elfu 10 kwa Sugu ni nusu yake. Hivyo watu wengi walikwenda kule kwenye kiingilio kidogo ili abakiwe na balance ya kujiachia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom