Hiyo ni KEJELI kwa wananchi wa hali ya chini ambao ndio wapiga kura......tena ni matusi makubwa kuuchukulia umasikini wa watu na kuigiza just to show them kwamba na ww maisha hayo umeyazoea huku ukiita waandishi waje kukupiga picha.....ni matusi makubwa na tena ni dhambi kubwa kwakua waishio maisha hayo hawajayachagua bali ni kwasababu ya hicho chama CCM kuwalea mafisadi wake na wauza unga ili kuwaacha wananchi waendelee kuishi maisha hayo na Mwingulu na wenzie waje wakaigize hapo...! Nyambaf..! Hizo nguo walizovaa ni za watu wanaokaa huko na kuota moto? Mnahadaa watu hadi kwenye vitu vinavotakiwa kuwapa changamoto tena vitu vya msingi mnaviletea hadaa za kisiasa?!!!!!!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums