Picha. . . .

'Sex is the only stain that will never disappear from someone's mind and life regardless of the different detergents one uses to remove it'.
 
Mimi nilichukua albamu ya picha za harusi, picha zote tulizopiga pamoja nikamwagia mafuta ya taa nikachoma moto zote, mkanda wa video wa harusi nimeuacha tu kwa ajili ya watoto kuja kuangalia wakishakua wakubwa kama watataka kuona sura ya baba yao
 
Mfano una hifadhi picha video ya mzazi wako wkt wanamzika hivi kweli utakuwa na ujasiri wa kuangalia? wapi na ni lini?

Wallahi bado sijalifikiria hilo na mwenyezi Mungu anistiri kwanza, ila wakati ukifika Inshaallah nitapata ujasiri huo iwapo
nitajiridhisha na matakwa ya kuyafanya hayo. Kila jambo linafanywa kwa utashi wa mtu.
 
This is pretty reasonable. .
Tatizo akitokea mwingine akataka usiwe nazo kwa wasiwasi kua zitakukumbusha wa zamani.
 
Wengine tukiumizwa tunaumizwa kweli kwa hiyo yaliyo pita sipendi kwa kweli kuyakumbuka na sipendi mwili wangu uwe jumba la makumbusho shosti

Nimekusoma Julie. .

Hehehehe BHT wengine kinachowasumbua sana ni kumwona yule mtu. Hujawahi kuona mtu anabadili njia ghafla?

Hahaha Fynest hiyo ya mshkaji ndio nilikua nafikiria.Leo kuna mapicha na macomment kibao kesho unakuta kama hazikuwahi kuwepo vile.
 
This is pretty reasonable. .
Tatizo akitokea mwingine akataka usiwe nazo kwa wasiwasi kua zitakukumbusha wa zamani.

sidhani kama unaweza kutunza kumbukumbu kwa yule mliyeachana nae kwani naamini hamwezi mkaachana kwa wema lazima kuna kitu cha kusababisha
 
Mmesahau na picha za mpnz wako ulozihifadhi kichwan!nazo utazifanyake?!!

Zile hazina ujanja. . . zitajifuta zenyewe muda utakaporuhusu.

Kongosho. . .hehee bado sijakua mami najifunza ili nijue pakuanzia siku nikikamatika.
 
'Sex is the only stain that will never disappear from someone's mind and life regardless of the different detergents one uses to remove it'.

I disagree.. .
Labda kama unajiongelea wewe mwenyewe kwa uhakika zaidi.
 
Mimi nilichukua albamu ya picha za harusi, picha zote tulizopiga pamoja nikamwagia mafuta ya taa nikachoma moto zote, mkanda wa video wa harusi nimeuacha tu kwa ajili ya watoto kuja kuangalia wakishakua wakubwa kama watataka kuona sura ya baba yao

Sasa siku watoto wakikuomba picha utawajibu nini?
 
tatizo si kuchoma picha ...tatio ni kuondoa ile kumbu kumbu kichwani.....hili ndilo tatizo kubwa......
 
Hii kitu picha imesababisha hofu kubwa sana kwa mke wa jamaa yangu. Mke wa jamaa yangu aliikuta picha ya mpenzi wa mumewe aliyepiga naye kabla hajamuowa, lakini kibaya zaidi huyo mpenzi wake mke wake anamfahamu na alifariki kwa ukimwi na mke wa jamaa yangu anajua hivyo, lakini sio kwamba alikuwa na ukimwi wakati wakiwa wapenzi na jamaa yangu. Sasa mke hakuamini kama wako salama, pamoja na kwamba wameishi miaka 20 ndani ya ndoa na wana watoto 2, ilibidi awajulishe wanandugu wote na ikaamuliwa wakapime afya, ndiyo mke wake aliporidhika baada ya kukuta wapo safi. Cha ajabu ni picha ya miaka 20 iliyopita.
 
sidhani kama unaweza kutunza kumbukumbu kwa yule mliyeachana nae kwani naamini hamwezi mkaachana kwa wema lazima kuna kitu cha kusababisha
Sio unaweka ili kumkumbuka yeye ila kukumbuka zile nyakati.
 
khaaa Lizzy, nizipendee nini tena? zitarudisha maumivu bure.

lol....unahana upande mmoja kumtoa muhusika kisha ubakishe kipande?
Mshiki kama wewe ndo umemuacha? inakuwaje hapa? maana najua mwenye kuachwa ndo anakua na maumivu
 
Reactions: bht
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…