ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,320 50,538 Mar 26, 2017 #2 Serikali hii ni tofauti na zote.. Ina Uwajibikaji na iko wazi.. Hilo ndio naweza kuchangia.
Fstborn JF-Expert Member Nov 27, 2016 507 527 Mar 27, 2017 #4 ndege JOHN said: Serikali hii ni tofauti na zote.. Ina Uwajibikaji na iko wazi.. Hilo ndio naweza kuchangia. Click to expand... Umeasahau ni sikivu pia tehteteh
ndege JOHN said: Serikali hii ni tofauti na zote.. Ina Uwajibikaji na iko wazi.. Hilo ndio naweza kuchangia. Click to expand... Umeasahau ni sikivu pia tehteteh
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,039 17,933 Mar 27, 2017 #5 Dah.. anaweza mshoot mtu siku moja huyo ngosha
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Mar 27, 2017 #6 Kutoa mguu wa Kuku hadharani zamani ulikuwa lazima upate kibali cha RPC kwanza