Picha: Ziara ya Sugu, Mtaa wa Nonde - Mbeya Mjini

Mbeya full nyumba za udongo utadhani sijui kijiji gani milima balaa yaani ukiingia town unapanda mlima uhindini huko.
 
Hembu tuambie wewe umetokea mkoa gani broo manake hata hapa mnapopaita jiji la maraha dar es salaam kuna mbavu za mbwa nyiingi tu.
 
Serikali dhaifu ya ccm ndiyo iliyowafikisha hapo Watz,wamechoka hata uwezo wa kununua saruji na mabati tu ni shida kutokana na kodi zinazoongezwa kila mwaka huku mafisadi wakisamehewa kodi
 
Mbele ya CHADEMA ccm hawana ujanja,ukweli ndio huo,na inavyoelekea watakula mweleka 2015
 
Anawaaga wakazi wa mbeya maana wanarudi njia kuu.
 
Hembu tuambie wewe umetokea mkoa gani broo manake hata hapa mnapopaita jiji la maraha dar es salaam kuna mbavu za mbwa nyiingi tu.
Hata kama kuna mbavu za mbwa ila mbeya sijui hata nani aliamua iwe jiji daah?
 
Serikali dhaifu ya ccm ndiyo iliyowafikisha hapo Watz,wamechoka hata uwezo wa kununua saruji na mabati tu ni shida kutokana na kodi zinazoongezwa kila mwaka huku mafisadi wakisamehewa kodi
Mbeya nimefanya kazi kule daah kweli CCM waliusahau ule mkoa labda Sugu atawaonesha mwanga.
 
Back
Top Bottom