Kwetu Ngoreme
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 489
- 189
- Thread starter
- #41
Una tatizo la kuona mbali au karibu?mbona mimi sijamuona mzuri hata mmoja kati yao?
Una tatizo la kuona mbali au karibu?mbona mimi sijamuona mzuri hata mmoja kati yao?
Well said Da farkhina, afu wanaona urembo ni npaka mwanamke avae uchi uchi ndio aonekani mrembo khaaaaaaaa!!!!!!
Wavae kistaarabu afu waondolewe hivo makeups tuone huo urembo wao!!!!!!
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Hawajijui kama wanatumiwa kuanikwa.