Ndugu kama mambo ndivyo yalivyo kuwa naona siku hiyo tuiite siku ya wahuni na wasambazaji virus vya ukimwi,siku ya wapendanao sio siku ya ngono na kutembea na vichupi,
Unajua sisi wa tanzania tatizo ni ushamba wetu tunapapukia mambo bila kujua maana yake halisi
This is cultural imperialism,kwa mtindo huu msemo wa tanzania bila ukimwi utakuwa ni ndoto
Elisante Yona