Picha za Vurugu za KARIAKOO

 
kuna baadhi ya picha sio za leo
mnazidisha tu chumvi...

kama kawaida ya jf, imejaa wanafik wanaopenda kupotosha kwa maslahi yao.
Kwa namna hii hatufiki popote.

Walitaka kusikia leo wameuwawa watu kam 10 hivi ndo wafurahi.
 
When words are many, sin is not absent, but he who holds his tongue is wise.:embarrassed:
 
Kinachofanywa na hawa wanaoitwa wahuni ni kudhalilisha imani na kuwafanya watu waamini kwamba imani hii ni ya wahuni na wasiopenda amani na watu wabinafsi zaidi ktk karne hii
 
Eti polisi wametekeleza amri ya maaskofu, dah! Hivi hawa jamaa wanaoandamishwa kwa point za kijinga namna hii wanafikiri kwa kutumia "zana" gani hasa? Maana hii ni zaidi ya masaburi.
 
Eti polisi wametekeleza amri ya maaskofu, dah! Hivi hawa jamaa wanaoandamishwa kwa point za kijinga namna hii wanafikiri kwa kutumia "zana" gani hasa? Maana hii ni zaidi ya masaburi.

Labda kinachotoka kwenye masaburi,who knows.
 
sipati picha hawa jamaa siku watakayomuona huyo mtoto..........inabidi vituo vya sunday school viwekewe ulinzi
 
eti naskia walitaka kuenda ikulu kumuona mdau na sahiba wao mkuu..mh..maskini kodi yangu!
 
Kumbe na vijana wa Lugalo waliingia kwenye operation....mwenzio hata TV sijaangalia jana....hapo palikuwa patamu.
 
Hakuna cha wauni wala nn hawa wahun kwa nn wasichome misikit kila cku wanachoma makanisana na bahat zen wakristo wastarab kama isinge kuwa hvy pasinge tosha bt jrbn kuwa wastarab bash hayo maisha ya kuiga inchi nyingine au kwenye move za video achen mnakela xana
 
Ila kama dini ya haki ndo iko hivyo dah kweli?Ila hamjajua tu kwamba mnadanganywa na nyie ndo makafiri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…