mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 976
p​inakera sana mijitu haitaki shule wala kujituma afu inataka kazi za bure
i
umeona ee .misauzi haijasoma inataka kazi mi mbuziiiiiii kweli
p​inakera sana mijitu haitaki shule wala kujituma afu inataka kazi za bure
mkuu nisiseme uongo yan hapa sijaelewa hata kidogo naona mchele mchele tu.. wenzetu hii lugha mliijuaje jaman?
hili nililiona muda mrefu tu kuwa litatokea, na sasa ndio hilo.....
Hao wageni wanaofukuzwa wangekuja kuwekeza bongo tu maana hawa wasauzi wanajiona kama dunia ni yao...Je na sisi tukianza kufukuza hao wenzao waliopo kwenye migodi yetu Geita na Kahama???
Tungalikuwa na Raisi nchi.hii angechukua maamuzi ya kufuta mtaala wa history of southafrica. Angechukua hatua ya kuvunja uhusiano na hawa wapumbavu . Watanzania wangerudi kutoka south na Masouth uanayotuibia barick na kwingineko yangerudi bondeni
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana
Ubaguzi huu ndo walitaka kuuleta Tanzania kat ya bara na vsiwan wakat wa mchakato wa katiba hawa ukawa. Mbwa kabisa.
Nilikua namuogopa PONDA lakini huyo namwachia KOVA​Hujasikia mzee wa 'VYOPPER' anataka kuwasha moto Tanzania pia?
Hivi hizo JOBS wanaonyang'anywa ni BLACKS tu! na wanaonyang'anya ni BLACKS tu!
Kweli BLACK RACE ni race iliyolaaniwa na Mwenyezi Mungu!