Picha za vurugu South Africa: Wazungu wamlilia Mwalimu Julius Nyerere

Hao wageni wanaofukuzwa wangekuja kuwekeza bongo tu maana hawa wasauzi wanajiona kama dunia ni yao...Je na sisi tukianza kufukuza hao wenzao waliopo kwenye migodi yetu Geita na Kahama???
 
Chanzo cha tatizo hali mbaya ya uchumi kwa wananchi wazawa. Hili hata hapa nchini litakuja kutokea tusishangae ya afrika kusini.mi ningewashauri wavamie matajiri siyo wafrika masikini.
 
sio waislam ndio wanawafanyia fujo wakristo huko sauzi? maana hamtabiriki nyie
 
Hao wageni wanaofukuzwa wangekuja kuwekeza bongo tu maana hawa wasauzi wanajiona kama dunia ni yao...Je na sisi tukianza kufukuza hao wenzao waliopo kwenye migodi yetu Geita na Kahama???

mkuu hao wengi wanaofukuzwa ni masikini tu watu wanaoenda kujitafutia maisha huko Sa. Watafanya uwekezaji gani hawa?
 
Tungalikuwa na Raisi nchi.hii angechukua maamuzi ya kufuta mtaala wa history of southafrica. Angechukua hatua ya kuvunja uhusiano na hawa wapumbavu . Watanzania wangerudi kutoka south na Masouth uanayotuibia barick na kwingineko yangerudi bondeni

Ni kwanini unaamini vurugu zinazofanywa na wahuni wachache zinapotray Nchi nzima?
 
Ubaguzi huu ndo walitaka kuuleta Tanzania kat ya bara na vsiwan wakat wa mchakato wa katiba hawa ukawa. Mbwa kabisa.

Serikali kushindwa kukuza kipato na kutoa ajira kwa wazawa huku ikikumbatia raia wa nje na kuendekeza ufisadi ndio madhara yake. It has nothing to do with Zanzibar and Tanganyika
 
shutterstock_157572569.jpg
 
https://jamii.app/JFUserGuide these niggaz! they forgot that our fathers contributed a lot to set em free from apartheid rule! They forgot what other Africans did to set em free! They should bring their asses to Morogoro and see where they fathers were being trained and camped.
By some how this shows how people are stupid and weak minded. What if other nations will reject them?!
 
kama na hapa hapa itatokea. nahisi itakuwa ni wananchi kukamata na kuchukua mali za mafisadi ambao serikali inawaangalia.
 
Hivi hizo JOBS wanaonyang'anywa ni BLACKS tu! na wanaonyang'anya ni BLACKS tu!

Kweli BLACK RACE ni race iliyolaaniwa na Mwenyezi Mungu!
 
Hivi hizo JOBS wanaonyang'anywa ni BLACKS tu! na wanaonyang'anya ni BLACKS tu!

Kweli BLACK RACE ni race iliyolaaniwa na Mwenyezi Mungu!

Hakuna cha laana wala nini.

Haya yote ni muendelezo uleule wa kuendekeza uvivu wa kufikiri.

Mimi nafikiri ANC na wapiga kura wengi ambao walimtaka Jacob Zuma kuwa ndio raisi walikosea sana.

Ni matatizo yaleyale ya kuchagua mtu awe raisi kwa kisingizio kwamba ni mtu wa watu au ni maarufu lakini watu hawaingii ndani zaidi na kufikiri.

Nchi hiyo ilitaka raisi ambae anaelewa namna ya kusawazisha mambo.

Kwahio kama kumekuwa na asilimia 24 ya watu ambao hawana ajira ambao wengi ni waafrika weusi, basi hapo kuna tatizo kubwa sana na haliwezi kutibika leo.

Afrika Kusini inatakiwa iwe ni dira ya maendeleo katika bara zima hasa baada ya kuepukana na majanga ya kabla ya 1994.

Lakini dira hiyo huwekwa na kiongozi mwenye muono au Vison na kwa Jacoba Zuma sidhani kama wana kiongozi wa aina hio.
 
Back
Top Bottom