mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,169
message iende kwa ukawa and the team.
ni wajinga hawa watu
Wooongoo ujinga wa ukawa upo wapi:what::banghead:
message iende kwa ukawa and the team.
ni wajinga hawa watu
Hizi picha zinawabeep wale waliobobea kwenye matumizi ya UBAGUZI wa aina yoyote ile kufanikisha milengo yao. Dini, Kabila, Rangi, Ukwasi, Imani ya Kisiasa na aina yoyote ile ya upuuzi wa kibaguzi ni adui wa JAMII popote pale. Ni somo tosha. Dalili za upuuzi tajwa zipo kwetu Tanzania. Tupinge na kuwakataa WABAGUZI!
Ddah inasikitishasana
Hata bengazi walianza hivi hivi kimchezo mchezo sasa hivi kinachoendelea huko kila mtu anajua ila kwa jinsi miafrika tulivyo tunaangamia kwa kukosa maarifa mbona huko ney york, sijui canada, norway haya makitu hamna ni hizi nchi zetu za kimaskini tu wallah aliyetuloga wala hajafa yupo hai anachezesha kibuyu chake tumtafute huko alipo.
Navyowajua hawa wazulu walivyo wavivu hususani wanaume, waafrika wenzao wakishaondoka watawafuata na wazungu waishio humo, na lengo sio wafanye hizo biashara wenyewe lengo ni kuiba na wakisha maliza baaasi ngono na pombe na ndio mwisho wa biashara kufanyika!
na wewe takooo huwezi toa maoni bila kurudi na hayo mapicha yooooote??????????
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana
Km hawa wasomali ,wahabeshi ,wapakistani na jamii shida km hizo zinamiminika hivyo..subiri hapa bongo wajae uone kwanini south kuna upande mwingine wana haki..upande mwingine nao ni walevi na wavivu km waswahili wetu.​inakera sana mijitu haitaki shule wala kujituma afu inataka kazi za bure
ubaguzi huu ndo walitaka kuuleta tanzania kat ya bara na vsiwan wakat wa mchakato wa katiba hawa ukawa. Mbwa kabisa.
message iende kwa ukawa and the team.
ni wajinga hawa watu