Picha za vituko vya ndondo cup 2017

unajua binadamu ili apate raha lazima afanye mambo kama yakitoto au yakijinga.mfano kwenye mapenzi ukiweza kuwachabo wawili wapendanao yaani yaeza cheka vitu wanavyofanyiana, ndo maana ndondo cup upuuzi unaofanyika na ujinga ujinga ndo unaoleta raaha asikwambie mtuu.
 
Jumamosi itakuwa bonge la gemu. Hawa clouds media wote na Azam watakuwepo apo Sinza Kinesi. Kuna bonge la gemu la Faru Jeuri na Kauzu FC. Bila kusahau burudani za apa na pale. Na Shafii Dauda na mchezaji kutoka English Premier League Victor wanyama.
Bonge la gemu sio la kukosa kiingilio ni Tshs 2,000.
Muda ni saa kumi jioni watu wanaanza kuingia uwanjani kuanzia saa nane nane
 
Sio kwa vituko hivyo. Wengine kama zombie, wengine kama wazee wa juju. Lazima mchezaji uwanjani atakutana na hali isiyo ya kawaida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…