Picha za viongozi wa M23 wanaosakwa

Picha za viongozi wa M23 wanaosakwa

Sare mpyaaa, mbichi!!! Hiii ni hatari aiseee.....
Kama unita hiyo ni show tu, sasa hivi nahisi watachechezea kichapo cha sadc na jwtz ikiwa mstari wa mbele. Hawa watu wanatakana usawa ule wa animal farm; kwamba wao ni more equal.
 
hawa inatakiwa wapigwe kitokea rwanda sababu wakizodiwa wanakimbilia rwanda na kuvaa kiraia. wao ni matawi, but shina ni kagame. kagame apigwe? kagame apigwe?. mia
 
hawa waasi awataondoka hadi pale rwanda itakapovamiwa na kupigwa na kagame kuondolewa madarakani hilo ndilo final solution nor mediation on this.

Inabidi kuangalia uchumi wenu kwanza kwani vita ni pesa,

Kumbikeni miezi 18 ya vita ya uganda je mmesha fungua mikanda hiyo mpaka leo.?
 
Wanajipa vyeo eti makanali majenerali sijui nini na nini hawana lolote hawa watu ni waroho wa mali na madaraka wakubwa. Kwao haki ni wao kutawala siasa na uchumi. Kwanza nani kawapa hivyo vyeo kama sio propaganda zao. Jeshi la kitutsi lazima liangamizwe kwa sababu ni hatari kwa amani ya eneo la maziwa makuu. Ikibidi kagame kuvurumishwa kama ilivyofanyika kwa idi amin basi ifanyike sio watu fulani kuunda jeshi la kikabila ili kukamata madaraka kwa maslahi yao binafsi. Kila leo wanasingizia genocide genocide na kila anayewaambia adui yao mkubwa ni uroho wa madaraka wanamwita genocider na matusi mengine. Juzi jk kawaambia waongee na wapinzani wao kupata amani ya kudumu wamemtukana wanamwita genocide sympathiser. Hiyo genocide ndio imekua kama itikadi yao kutafuta huruma ili kuendeleza udikteta wao.

Kamtoe basi na M7 ndugu yao kama una uchungu sana dhidi ya Watutsi! Acha kutoka mapovu mengi nyuma ya keyboard kama sio keypad ya simu yako
 
Back
Top Bottom