Picha za utupu na maana yake- msaada

kindili kindili

JF-Expert Member
May 27, 2013
244
225
Nani humu ndani humpiga mke wake/mpenzi wake/mwandani wake..au yeyote aliye naye kwenye mahusiano ya kimapenzi picha za utupu? kwanini yaani huwa mnafanya hivyo? halafu nyie wanawake mbona ni nyie tu mnapigwa hao wanaowasugua hamuwapigi? ...kwa akili zeenu za kuunga na pozi mnaeka.....naombeni kujua maana nahis ushamba unanisumbua wana jamvi.
 

dikembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,646
2,000
Ukishajuzwa na wewe unataka uanze hiyo tabia? Kifupi haina tija yoyote. zaid ni ulimbukeni wa mapenzi tu. Kitu cha kwako, kipo kwa ajili yako unakipiga picha ili iweje? aaaah.....
 

Ndetirima

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
956
1,000
Wengine wanapigwa kwa kutokujua na wengine ni kibiashara, ila wapo mamilionea wengi sana wanawake kutokana na biashara ya kuuza picha za utupu na ngono Duniani. Kwa hapa kwetu bado sio biashara ya maana kama kwa nchi zilizoendelea na maadili yetu yanakataza kabisa biashara hizo. Wenzetu wamefikia kutoa rasmi leseni za biashara ya ngono kwa yeyote anayehitaji.
 

ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
tatizo umri na ulimbukeni unawasumbua

wote mpigaji na huyo anaepigwa ni CHAKRAM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom