Chizoba_CzB
Member
- Dec 13, 2019
- 86
- 98
Usitufanyie hivyonasubiri za Tecno sasa
Mkuu nisaidie kujua unatumia app gani kufanya editing na kuweka hizo signature.
Natumia hizi high end ila ni mshamba sana kwenye hayo mambo.
Naona umetumia s6 kufanya editing kali mimi nina note 10 plus hapa hayo siyajui.
Natanguliza shukrani.
em shoot na iyo Spark 4 yako then tupia hapa bidadaUsitufanyie hivyo
H i zSoma hapo mwanzo.mkuu nmeeleza kila kitu simu ninayotumia na apps zote ninazotumia
Hizo za blur background umetumia app gani kati ya hizo?Soma hapo mwanzo.mkuu nmeeleza kila kitu simu ninayotumia na apps zote ninazotumia
Ni ya muda kidogoem shoot na iyo Spark 4 yako then tupia hapa bidada