Picha za mkutano wa CHADEMA kata ya Kimandolu -Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za mkutano wa CHADEMA kata ya Kimandolu -Arusha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nanyaro Ephata, Jan 9, 2012.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Wakuu
  Leo tumeendelea na mikutano yetu ya hadhara ya kuzungumza na wananchi,na kusikiliza kero zao,leo tulikuwa kimandolu,na kesho tarehe 10.1.2012 tutakuwa Kaloleni.
   
 2. t

  true JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Sawa mkuu, nawakubali! Makamanda kazini.., hicho ndo chama chenye kufuata misingi na taratibu za wapiga kura wake. Viva CHADEMA!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona hamna picha mkuu au computer yangu mbovu?
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata nami picha mbona siioni.
  Ama naona Kamanda amesahau.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mbona nimeona tangazo uswahilini linasema mkuu wa mkoa bwn magesa atakuwepo ofisi ya mtendaji kata ya kaloleni hiyo kesho?!
   
 6. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa mwendo huu tutawaona CDM wakiishia kuvutia mikutano mikubwa, lakini ukifika wakati wa uchaguzi sisiemu wakichukua utawala kwa kutumia UWT!!! Haki na utawala wa sheria ni kwa CDM, lakini kwa mtindo huu wa rule of the jungle sisiemu na magamba yake wataendelea kuangamiza taifa hili!!!!! Hivi zile siku 100 ndiyo ziliishia wapi?? au zilikuwa miongoni mwa mbinu za UWT??? Lakini mwelekeo wa uchumi utawaumbua tu na siku moja kichaa mmoja atasema enough is enough!!!!!!!!!!! Hapo???????????
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  asante kwa taarifa ( feedback - kuwa mkutano umefanyika kama ulivyo pangwa )

  lakini hii taarifa ni too short haielezi nini kilijili huku muitikio wa watu ulikuwaje, Ni viongozi gani walikuwepo ,kadi mligawa ? etc

  halafu title haimatch kabisa au ulichoka sana POLE NA UCHOVU MKUU

  GOD BLESS YOU - AMEN !!!
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Incomplete
   
 9. D

  Derimto JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  OK labda nije kwa namna hii Mikutano yote ya CDM.imekuwa na mafanikio makubwa kuanzia ule wa nmc, kata ya Elerai na hata kimandolu watu wengi wameonekana kuwa na ari na wanahudhuria mikutano hata hii midogo ya kata tofauti na siku za nyuma ambako ili watu waje lazima waletwe wasanii mbalimbali ili kuhamasisha.

  Wengine hawapendi kuja kwenye mikutano lakini wanasikiliza kwa mbali.

  Kuna wale ambao wanakuwa kama wapita njia kwa miguu au kwa magari karibu na maeneo ya mikutano husitisha safari zao kwa nyakati fulani ili kusikiliza hotuba zenye kutoa taswira ya wapi tumetoka na tunakokwenda na nchi hii inawafaidisha wakina nani.

  Mikutano hiyo inapokaribia kwisha ndipo utadhani inaanza maana watu wanaongezeka kuja kwa wingi na zaidi wakati wa kuondoka wengi hujitokeza barabarani na wakiwa na alama juu ya vidole viwili kuashiria kuiunga mkono chadema.

  Na karibu mikutano yote watu wengi wamekuwa wakiwabana chadema kwenda kufungua matawi yao ya mitaa ya karibu na kufanya mikutano iwe na ladha ya tofauti.

  Na kila mikutano hii inapofanyika inakuwa pia na polisi wengi wanaokuja kwa siri kusikiliza chadema wataongea nini ili wawakamate na wengine hurekodi kisirisiri na mpaka mmoja juzi alikamatwa kata ya Elearai na pia mara nyingi nimekuwa nawaona maofisa wa TISS wasiopungua watano wale ninaowafahamu na wanakuwa na mionekano ya tofauti kwa jinsi walivyo siku zote ili kujifanya ni wanachadema ili waweze kunasa yanayoendelea (USISAHAU HII NI MIKUTANO YA KATA) wanahangaika sana lakini ndiyo hivyo watu wamashawakubali sana chadema kwa kifupi hayo tu ila kuna mengi sana na kwa wale wanapenda kupiutano hiyo ingia kwenye facebook wall ya Ephata Nanyaro utazikuta chache alizoweza kupiga mikutano hiyo.
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  vipi hatima yyake kwa hasi na ali kamatwa kwa kosa gani ?

  Mkuu tuliambiwa kuwa mwaka huu CDM itafanya uchaguzi wa viongozi wa mashina ili kuimarisha chama ngazi ya chini kabisa - glass root vipi hili linatekelezwa huko mliko
   
 11. D

  Derimto JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aliyekamatwa hakuwa wazi kama alikuwa ofisa usalama au alikuwa ni pandikizi tu na makamanda wa chadema walitaka kuiformat simu yake lakini mbunge G. Lema Aliwataka makamanda wamwachie na wasifute chochote ili ujumbe uwafikie kwa wale waliomtuma hata kama ni JK.

  Matawi yanaendelea kufunguliwa kama kawaida na watu wana mwamko mkubwa na kuipokea chadema kwa matumaini makubwa ya hatima yao kimaendeleo.
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  HEADING NA CONTENT MBONA TOFAUTI? SIKU HIZI PICHA NI MANENO a.k.a blabla?
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
 14. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  peoplezzzzz.....
   
 15. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  kamanda hiyo camera yako imenikumbusha mbali kitu cha olympia
   
Loading...