Picha za michoro ya makao makuu ya chama cha mapinduzi (ccm)

Picha za michoro ya makao makuu ya chama cha mapinduzi (ccm)

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
​

Ukumbi wa Mikutano Dodoma
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
Michoro inavyoonyesha jinsi Makao Makuu ya Chama yatakavyokuwa .
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
Makao Makuu ya Chama yatakayojengwa katika eneo la Makulu Dodoma.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wamuombe shetani aendelee kuwaweka madarakani maana kikiingia chama kingine wataihama hii nchi vinginevyo wataishia korokoroni
 
Safi sana waanzi ujenzi mapema na uweumeisha kabla ya 2015 maana naona ndoto ya Nyerere Ikulu kuwa Dodoma itakuwa rahisi kutimizwa na CDM.

Maana mali yingi za CCM zinatakiwa kugawanya kwa waliokuwa wanachama hai wa CCM enzi hizo na sasa wako upinzani .Watu kama akina Mabere Marando watatusaidia kufanikisha kazi hii.
 
Kwa wale ambao mmebahatika kutoa tongo nchi za wengine, kuna anaeweza kunisaidia picha za makao makuu ya labour part ama democratic au kinginecho?
Bibi yangu pole, yale matumaini ya kuona hospital au kituo cha afya cha uhakika huko kijijini itabidi ungoje tumalize hili jengo kwanza kwani kile chama unachojivunia MAKAO YAKE MAKUU SIO MIOYONI MWA WANANCHI na sasa mnabaki "mtaji" kura zitoshe tuzidi KUMILIKI
 
Watajenga lini? Mbona wamebakiza miaka miwili tu madarakani?
 
Je Wananchi wamelipwa fidia sawa sawa na faida ya eneo lao? au unyonyaji?
 
Back
Top Bottom