kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Kwa wale waliopita maeneo yanayojaa maji ya mvua hata ikinyesha kidogo, ama wanaoishi mabondeni wekeni picha yaliyojiri leo.

Mi nimekuja kuona picha na wewe unaomba picha. Huna adabu.
Ziko wap
Huyu hajielewi
kaka badili heading yako utawachosha watu kuingia humu afu wanakuta hamna kitu
Badilisha kichwa cha habari bana..........
Mi nimekuja kuona picha na wewe unaomba picha. Huna adabu.
Soma vizuri habari yote
Sitaki
Unafanya nini hapa kama hutaki?