aaah ivuga umenikumbusha zenj hiyo picha yamwisho kiwengwahapo kaka ktk ile bridge unajirusha mpaka kuche,kweli zenj ninjema na atakae aje?zenj rrrrrraaahhaaaaaaah!!
zanzibar siku moja moja nenda kapumzike
aaah ivuga umenikumbusha zenj hiyo picha yamwisho kiwengwahapo kaka ktk ile bridge unajirusha mpaka kuche,kweli zenj ninjema na atakae aje?zenj rrrrrraaahhaaaaaaah!!
pole...........Bila shaka hizi Picha zoote ni kwa hisani ya Weakleaks
Heheeee...unanikumbusha kwa Haji Tumbo, ukiongelea mwembe basha namna hiyo.badae nitawawekea picha ya mwembe basha kama kuna mtu ambaye ashawahi kuskia stori yake
badae nitawawekea picha ya mwembe basha kama kuna mtu ambaye ashawahi kuskia stori yake
mwembe kiuno hamna .. Kuna mwembe basha tu. Mnaijua historia yake lakini?Usisahau na mwembe kiuno.
karibu sanaMhhh mambo ya upepo wa karafuuuuu.............utaona raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha