Hahahaa! Ni kweli mkuu. Hawa viumbe wana asili ya ukorofi.
Ila walikuwa na mazoea tu ya kuwa karibu na kutuona ona sana pale mbugani.
Mimi nilishawahi kukumbana na uso kwa uso NYATI usiku alfajiri aisee! Hapo ndipo nilipoamini kuwa, nywele za mwanadamu zina asili fualni hivi ya uchawi uchawi na kama usipofuata hisia za nywele, unaweza kukumbana na madhara..
Kwa kweli ilikuwa bahati tu na Mungu kunilinda, yule mnyama alikuwa ameshaniona toka nikiwa mbali, sasa mimi nikawa naenda tu, nilipohisi kitu kwa nywele kusisimka sana, nikabadili njia, kumbe njia niliyoichukua sasa, ilikuwa 'wrong turn'!!!
Yani kama si kwa msaada wa LED LIGHT TORCH kumulika gizani,
Excel asingalikuwa JF wala duniani hapa. dah! kila nikikumbuka sometimes nacheka..