Picha za kusikitisha : Usifungue !!

Wed

JF-Expert Member
Mar 7, 2011
315
266
View attachment Picha za kusikitisha.doc

Ndugu Watanzania. Kwa uchungu sana nimeangalia hizi picha. Nikajiuliza, hivi kweli ni serikali yetu imetufikisha hapa ?. Je, haya ndiyo matunda ya miaka 50 ya Uhuru ?? Je, haya ndiyo mafanikio ya Tanzania chini ya CCM ?

Nasikia ati Siku chache zijazo, serikali ya Kikwete na mafisadi wake CCM watatumia ma-bilioni ya shilingi kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru. Bila aibu Watawaalika viongozi matajiri kutoka dunia nzima kuwadangaya kwamba Tanzania ni nchi huru na imepata mafanikio mengi kwa kuwa chini ya CCM. Watasema ati tuna-amani !!!! Kama amani ndiyo hii, natumaini tunahitaji kujaribu chama kingine !!! Je, CHADEMA tukiwapa nchi : je mnaweza kuyabadili maisha haya duni ya watanzania ???

Ukisema hali halisi ya nchi ilivyo siku hizi unaitwa mchochezi unataka kuitoa serikali halali madarakani.
 
hivi hii miaka 50 ni ya uhuru wa nchi ipi ..... Tanganyika ...? Tanzania au Tanzania Bara...? historia haijakaa vizuri hapa
 
View attachment 25452

Ndugu Watanzania. Kwa uchungu sana nimeangalia hizi picha. Nikajiuliza, hivi kweli ni serikali yetu imetufikisha hapa ?. Je, haya ndiyo matunda ya miaka 50 ya Uhuru ?? Je, haya ndiyo mafanikio ya Tanzania chini ya CCM ?

Nasikia ati Siku chache zijazo, serikali ya Kikwete na mafisadi wake CCM watatumia ma-bilioni ya shilingi kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru. Bila aibu Watawaalika viongozi matajiri kutoka dunia nzima kuwadangaya kwamba Tanzania ni nchi huru na imepata mafanikio mengi kwa kuwa chini ya CCM. Watasema ati tuna-amani !!!! Kama amani ndiyo hii, natumaini tunahitaji kujaribu chama kingine !!! Je, CHADEMA tukiwapa nchi : je mnaweza kuyabadili maisha haya duni ya watanzania ???

wasisahau kumualika Ghadafi ili awape uzoefu wa kichapo kinachokuja kwao pia WAJIANDAE
 
Duuuh!
unajua ukiwa mwizi mzoefu soni nayo inatoweka usoni mwako!
Anajua kabisa anachowaeleza hakitatokea labda aje Ghadaf hapa kwa misimu 2 tu.hivyo hapo alipo anawacheka ujinga tu.
aaaanghhhhhhh!!
 
hivi hii miaka 50 ni ya uhuru wa nchi ipi ..... Tanganyika ...? Tanzania au Tanzania Bara...? historia haijakaa vizuri hapa

Tanzania haijawahi kupata Uhuru. Ulipatkana wa T'nyika na Zbar,wakaua ule wa T'nyika ukabaki wa Zbar ndo ukawa muungano. Tofauti na hapo tueleze lini Tanzania ilipata uhuru,umeletwa na chama gani/watu gani,ulipatkana kutoka kwa mkoloni yupi?,tarehe,njia/method iliyotumika,n.k. Vinginevyo ntaendelea kuiomba cdm itafute uhuru kutoka kwa mikoloni mienzetu iliyozaliwa hapa hapa Tanzania.
 
Pia picha sio za kutisha au kusikitisha ki hivyo..... Hata Ulaya kuna homeless na watu hawana msaada wanakula leo usiku unapoingia wanatamani uendelee kuwa usiku tu.....Kwani ni nchi gani Africa haipo katika hali kama hiyo unayoonyesha kwenye picha?.... Hata hivyo tunakushukuru kwa picha
 
mkuu ndo yaleyale kila mtu atakula kwa jasho lake?? be happy mkuuu unakula na kushiba, MIMI INANIUMA KWELI KODI NINAYOTOA!
SIKUACHI MKUU PUMBAVU ZAKO!
 
Mbona hujaonyesha hizo picha zimetoka maeneo yapi ya Tanzania? Inaonekana nyingine zimechakachuliwa kama hiyo ya pili, ni wapi huko ambako Mkuu aliingia kwenye nyumba ya namna hiyo na kukaa na wahitaji?
 
mkuu wakati wa kuomba kura hata kwenye kichuguu utaingia tu! chezea kura wewe.Sioni ajabu anaweza kuwa aliingia,Lakini hata km hakuingia bado inaonyesha hali halisi ya wananchi wake.

Tanzania ya sasa.....bora kabla ya uhuru....ebu muone kiraka anavyokwambia hapa...
moz-screenshot-3.png
moz-screenshot-4.png
Independence.jpg
 
Daaah, inauma sana sijui alipokuwa akiongea na hao wananchi alikua anajiskiaje>> pamoja na hayo hao hao ambao wapo kwenye hali duni kama hiyo ikifika uchaguzi wanajisaaulisha na kuwarudisha madarakani mafisadi kisa wamepewa maitaji ya siku moja au mbili,
kiukweli watanzania tulio wengi twaitajika kubadilika sanaaa,
na sio suala la elimu ila ni akili ya mtu kuchanganua mambo..
 
Nimeona hizo picha ni rubbish. hazithibitishi chochote!. Labda kama hujatembea Africa na dunia hii.
 
Pia picha sio za kutisha au kusikitisha ki hivyo..... Hata Ulaya kuna homeless na watu hawana msaada wanakula leo usiku unapoingia wanatamani uendelee kuwa usiku tu.....Kwani ni nchi gani Africa haipo katika hali kama hiyo unayoonyesha kwenye picha?.... Hata hivyo tunakushukuru kwa picha

Mkubwa Uchafu wa wenzako... hauhalalishi uchafu wako!!!! Don't be naive.....
 
Nimeona hizo picha ni rubbish. hazithibitishi chochote!. Labda kama hujatembea Africa na dunia hii.

Tanzania tuna utajiri wa kila aina. Kwa nini tusiwe matajiri ? Je unakubaliana na ufisadi ?? Unakubaliana na viongozi kutumia fetha za kujenga hosipitali, shule, barabara kwa ajili yao na familia zao ???

Africa na dunia unayoizungumzia ni ipi ?? Yenye kuongozwa na viongozi "rushwa" au ya "wanaoitumikia nchi yao"???

All in all, kwa vile jirani yako anafanya utumbo basi nawe utamuiga ??? Hebu tumia akili uliyopewa na Mungu na siyo tu kuropoka !
 
Tutabaki kumung'unya tu, ila kutema ndio tusahau kabisa! ukute hapo kaenda na vipande viwili vya sabuni na robo kilo ya chumvi.
 
Back
Top Bottom